Luke 22:21-23

21 aLakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami. 22 bMwana wa Adamu anaenda zake kama ilivyokusudiwa. Lakini ole wake mtu huyo amsalitiye.” 23 cWakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo.

Copyright information for SwhNEN